Samwel, Anna: Kakofia Keusi

CHF 29.50
Einband: Fester Einband
Verfügbarkeit: Folgt in ca. 10 Arbeitstagen
+ -

KAKOFIA KEUSI Kakofia Keusi ni mtoto anayeishi barani Afrika. Siku moja, alitumwa na mama yake kwenda kijiji cha jirani kuwapeleka chakula bibi na babu yake, kwa sababu walikuwa wagonjwa. Kakofia Keusi alimkubalia mama yake na kuondoka. Alipita njia ya mkato ya mwituni ili afike upesi. Je, Kakofia Keusi atafanikiwa kufika kwa bibi na babu yake salama? Safiri naye ili ujionee mwenyewe jinsi anavyoupita mwitu huo.

ISBN: 978-3-7519-5768-7
GTIN: 9783751957687

Über den Autor Samwel, Anna

KUHUSU MWANDISHI Anna Samwel ni mwandishi wa vitabu vya hadithi za watoto kwa lugha ya Kiswahili, Kingereza na Kijerumani. Pia ni mwandishi wa riwaya za watu wazima. KAKOFIA KEUSI ni kitabu chake cha kwanza cha hadithi za watoto. Kitabu hiki kimefasiriwa katika lugha ya Kingereza: LITTLE BLACK CAPPY Kwa Kijerumani: SCHWARZKÄPPCHEN Kwa Kifaransa: LE PETIT CHAPERON NOIR

Weitere Titel von Samwel, Anna